As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Lyrics » Jux (Kenya)

As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Lyrics » Jux (Kenya)
Rate this Lyrics

As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Lyrics » Jux (Kenya) : The As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Lyrics / As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Song Lyrics by Jux is The Latest African Song of 2022. The As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Song is Sung by Jux. The As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Song Music is Given by Foxx Made it. The As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Song Lyrics is Written by Jux. The As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Song is Released on 18th January, 2022. The As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Song is Presented by AfricanBOY.

As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Song Details :

SongAs Long As You Know (Ilimradi Unajua)
SingerJux
MusicFoxx Made It
LyricsJux
Release Date18th January, 2022
LanguageAfrican (Kenya)
LabelAfricanBOY

As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Lyrics Jux (Kenya)

Foxx Made It..
Heiyee Eeeh..

Trending Now →  JUGNI Lyrics » Diljit Dosanjh (Punjabi & African Version)

Hauna Furaha,
Haifichi Sura Yako.
Najua Una Mpenzi,
Unampenda Ila Moyo Wako Haupo Hapo..

Unapata Karaa
Unatunza Utu Wako (Mmm)
Labda Unajiuliza Kwanini
Nahitaji Namba Yako…
(Ilaaa)

Sio Lazima
Nikipiga Simu Upokee (Aa Aa Aa Aaah)
Sio Lazima
Message Zangu Majibu Yarejee
(Aaa Aaa Aaah Aah)

Nasema Sio Lazima
Mi Nawe Tukae Tuongee (Ilaaa)
Ukipata Muda (Majiii)
Yakizidi Unga Nipigie..

Ilimradi Unajua.. (Hayee Aa Hayeee Hayeee)
Ilimradi Unajuaaa.. (Hayee Aa Hayeee Hayeee)
Ilimradi Unajua.. (Hayee Aa Hayee Hayeee)
Ilimradi Unajuaa.. (Hayee Aa Hayee Hayee)
As Long As You Know, Eiiiiiii Eeeeh,
As Long As You Know,
As Long As You Know.. (Aaaaaah..)

Nasema Joto,
Likizidi Unapoza Na Maji.
Ila Changamoto,
Zinapozidi Unakosa Amani..

Kuna Umpweke Hujiwezi,
Unachukia Na Mapenzi..
Kwanini Ufe Na Kitanzi,
Wakati Mimi Nipo Na Iko Wazi..

Sio Lazima
Nikipiga Simu Upokee (Aa Aa Aa Aaah)
Sio Lazima
Massage Zangu Majibu Yarejee
(Aaa Aaa Aaah Aah)

Nasema Sio Lazima
Mi Nawe Tukae Tuongee Ilaa (No No Noo)
Ukipata Muda ( Majiii )
Yakizidi Unga Nipigie, Ilimradi Unajua..

Trending Now →  Hayya Hayya (Better Together) Lyrics » FIFA World Cup (2022)

Ilimradi Unajua.. (Hayee Aa Hayeee Hayeee)
Ilimradi Unajuaaa.. (Hayee Aa Hayeee Hayeee)
Ilimradi Unajua.. (Hayee Aa Hayee Hayeee)
Ilimradi Unajuaa.. (Hayee Aa Hayee Hayee)
Mamaa As Long As You Know, Uuuh Yeeeeh,
Aaa As Long As You Know,
Unajuaaa Yeyeee… Mm

Hayee Aa Hayeee Hayeee.. (Usikose Amani)
Hayee Aa Hayeee Hayeee.. (Mamaa Usijitese)
Hayee Aa Hayee Hayeee..
(I’m Here, I’m Here , I’m Hiiiii)

Hayee Aa Hayee Hayeee.. (Faraja Yako Ipo)
Hayee Aa Hayeee Hayeee.. (Babe Usikosee Amaniiiii)
Hayee Aa Hayeee Hayeee..
(Aaaahhh Aaaa Aaa..)

Written by : Jux

As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Lyrics Jux (Kenya)

As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Lyrics » Jux (Kenya) » Official Music Video

Share This Lyrics :