TAUSI LYRICS » MBOSSO X MRISHO MPOTO (KENYA)

TAUSI LYRICS » MBOSSO X MRISHO MPOTO (KENYA)
Rate this Lyrics

TAUSI LYRICS » MBOSSO X MRISHO MPOTO (KENYA) : The Tausi Lyrics / Tausi Song Lyrics by Mbosso Ft. Mrisho Mpoto is the Latest African Song of 2022. The Tausi Song is Sung by Mbosso X Mrisho Mpoto. The Tausi Song Music is Given by Mbosso. The Tausi Song Lyrics is Written by Mbosso. The Tausi Song is Released on 10th January, 2022. The Tausi Song is Presented by Mbosso.

Tausi Song Details :

SongTausi
SingerMbosso X Mrisho Mpoto
MusicMbosso
LyricsMbosso
Release Date10th January, 2022
LanguageAfrican (Kenya)
LabelMbosso

TAUSI LYRICS » MBOSSO X MRISHO MPOTO (KENYA)

Tausi Wewe..
Tausi Wetu,,
Karibu Tausi
Unipambe Nyumba Yetu..

Tausi Wewe..
Tausi Wetu,,
Mpendwa Tausi
Wa Yangu Mwanakwenda..

Chanua Mbawa Zako Tausi..
Waione Rangi Yako Tausi..
Mpole Sauti
Hio Ndio Sifa Yako Tausi..

Chanua Mbawa Zako Tausi..
Waione Rangi Yako Tausi..
Jichunge Tausi
Wasinyofoe Nyoya Lako..

Kari Bu Tausi,
Karibu Sana Tausi,
Mchezo Unaotukuta Nao
Ni Wa Sadakalawe Amina
Mwenye Kupata Apate Mwenye Kukosa Akose

Trending Now →  JUGNI Lyrics » Diljit Dosanjh (Punjabi & African Version)

Kipapatio Cha Juju Juju Gani Nweusi
Analiaje Kwio Kwio
Mpaka Lini Mwenye Kupata Apate,
Mpaka Lini Mwenye Kupata Akose,
Ahsante Tausi Umeukata Mlio Wa Kwio
Na Rangi Ya Kuku Kugawana..

Tausi Harufu Unayoisikia
Ni Ya Chakula Walichokula,
Wameamua Tu
Kujisaidia Nyuma Ya Nyumba
Ili Harufu Irudi Ndani Kimchedua Mpishi
Usishtuke Ndivyo Ilivyo Kwa Watu Wa Ishinde..

Tausi Tumbo Lenye Kukataa
Huleta Tumawe Mawe,
Unapotaka Kutambulisha
Watoto Wako Kwa Wageni
Tumia Idadi Yetu
Na Sio Majina Maana Baadhi Ya Wanao
Wanatumia A.K.A Siku Hizi Watakuvuruga..

Kumbuka Zinga La Juni
Ni Fungate Lilliofungwa Kwa Mkazo
Halipaswi Kumuumiza Mbebaji
Karibu Tausi..

Tausi Wewe..
Tausi Wetu,,
Karibu Tausi
Unipambe Nyumba Yetu..

Tausi Wewe..
Tausi Wetu,,
Mpendwa Tausi
Wa Yangu Mwanakwenda..

Chanua Mbawa Zako Tausi..
Waione Rangi Yako Tausi..
Mpole Sauti
Hio Ndio Sifa Yako Tausi..

Chanua Mbawa Zako Tausi..
Waione Rangi Yako Tausi..
Jichunge Tausi
Wasinyofoe Nyoya Lako..

Tausi Mimi Mwanao
Baada Ya Kutoka Jandomi,
Nilidhani Mimi Ni Mkubwa Sasa
Naambiwa Ooh Hicho Kilichotolewa
Ni Kipande Cha Ngozi
Hakina Uhusiano Na Kukua Kwako Kweli..

Trending Now →  I Love You Lyrics » Jux | Gyakie (Kenya) | Lyrics Over A2z

Ina Maana Kila Anaeingiza Kidole Puani
Ana Mashaka Na Alichonusa,
Uliwahi Kusema Wewe Mwenyewe,
Mnyonge Hapigani Kwa Fedha..

Na Tulifanya Makosa Kuchagua Silaha,
Silaha Tulioichagua Inatutia Unyonage,
Na Kuondoa Unyonge Kwa Kutumia,
Silaha Za Wenye Nguvu Embazo Sisi
Hatuna Tunazidi Kupoteza Muda..
Muda Upi Wa Sisi Kukua Au Nyakati..

Tausi Nimeamini
Asiona Anayumia Tochi Usiku
Sio Kea Ajili Yake,
Anawamulikia Wanaoona
Ili Wasimkanyage..

Na Ili Iiote Tausi
Lazima Ioze
Kila Mwenye Zamu Yake
Asiache Kumuwagilia..

Aahhh.. Ahhh..
Viroboto Kupe
Huletaga Virusi Tausi
Ukuta Mweupe,
Wasiufanye Mweusi Tausi..

Tausi Wewe..
Tausi Wetu,,
Karibu Tausi
Unipambe Nyumba Yetu..

Tausi Wewe..
Tausi Wetu,,
Mpendwa Tausi
Wa Yangu Mwanakwenda..

Chanua Mbawa Zako Tausi..
Waione Rangi Yako Tausi..
Mpole Sauti
Hio Ndio Sifa Yako Tausi..

Chanua Mbawa Zako Tausi..
Waione Rangi Yako Tausi..
Jichunge Tausi
Wasinyofoe Nyoya Lako..

Written by : Mbosso

TAUSI LYRICS » MBOSSO X MRISHO MPOTO (KENYA)

TAUSI LYRICS » MBOSSO X MRISHO MPOTO (KENYA) » Official Music Video

Share This Lyrics :