TEACHER LYRICS » HARMONIZE [KENYA] : The Teacher Lyrics / Teacher Song Lyrics by Harmonize is the Latest African (Kenya) Song of 2021. The Teacher Song is Sung by Harmonize. The Teacher Song is Released on 30th August, 2021. The Teacher Song is Presented by Harmonize.
Teacher Song Details :
TEACHER LYRICS » HARMONIZE [KENYA]
Yao Yao Hahaha… Jeshi
Yeah! Wakati Wanahanya Kugombea Kiti
Wanadanganyana Na Views Wa Ku-cheat
Mie Jicho Lipo Nyanya Nilishakula Kijiti
Na Magoma Yakipigwa Huko Club Mtiti
Ninachojua Masela
Huko Mtaani Kuna Dhiki
Ndo Maana Siringishi Hela
Wala Ninavyovimiliki
Mafumbo Andika Kwa Dera
Watu Wanataka Muziki
Mara Kumi Mwanangu Wa Cinderella
Yeye Hapendagi Makiki
(Oh Nah Nah Nah)
Huu Muziki Nauweza
Nauweza Kuuimba Na Kucheza
Ona Unavyonipendeza
Hadi Majirani Wameanza Kunigeza
Huu Muziki Nauweza
Nauweza Kuuimba Na Kucheza
Ona Unavyonipendeza
Hadi Majirani Wameanza Kunigeza
I’m Your Teacher, Ah Teacher Konde
Teacher, Teacher Konde
I’m Your Teacher, Teacher Konde
Teacher, Ah Teacher Konde
Huu Muziki Nauweza
Nauweza Kuuimba Na Kucheza
Ona Unavyonipendeza
Hadi Majirani Wameanza Kunigeza
Huu Muziki Nauweza
Nauweza Kuuimba Na Kucheza
Ona Unavyonipendeza
Hadi Majirani Wameanza Kunigeza
Ninachojua Masela
Huko Mtaani Kuna Dhiki
Ndo Maana Siringishi Hela
Wala Ninavyovimiliki
Mafumbo Andika Kwa Dera
Watu Wanataka Muziki
Mara Kumi Mwanangu Wa Cinderella
Ye Hapendagi Makiki
(Oh Nah Nah Nah)
Huu Muziki Nauweza
Nauweza Kuuimba Na Kucheza
Ona Unavyonipendeza
Hadi Majirani Wameanza Kunigeza
Huu Muziki Nauweza
Nauweza Kuuimba Na Kucheza
Ona Unavyonipendeza
Hadi Majirani Wameanza Kunigeza
I’m Your Teacher, Ah Teacher Konde
Teacher, Teacher Konde
I’m Your Teacher, Teacher Konde
Teacher, Ah Teacher Konde
Mwijaku Mwetele Kalipa Bill Ile
Mwaka Wanakuta Onja Na Kuta Onje
Mavhanta Na Mwima Konde
Vanemba Niwar
Hadi Kutandahimba
Naika Kukweteka Kalipa Bill Ile
Teacher, Ah Teacher Konde
Teacher, Teacher Konde
I’m Your Teacher, Teacher Konde
Teacher, Ah Teacher Konde..