Dunia Lyrics » Harmonize (Kenya) | Lyrics Over A2z

Dunia Lyrics » Harmonize (Kenya) | Lyrics Over A2z
Rate this Lyrics

Dunia Lyrics » Harmonize (Kenya) : The Dunia Lyrics / Dunia Song Lyrics by Harmonize is the Latest African Song of 2022. The Dunia Song is Sung by Harmonize. The Dunia Song Music is Given by Harmonize. The Dunia Song Lyrics is Wrtten by Harmonize. The Dunia Song is Released on 7th May, 2022. The Dunia Song is Presented by Harmonize.

Dunia Song Details :

SongDunia
SingerHarmonize
MusicHarmonize
LyricsHarmonize
Release Date07th May, 2022
LanguageAfrican (Kenya) | Sad
LabelHarmonize

Dunia Lyrics » Harmonize (Kenya)

Nikifikiria Dunia Huwaga Sipati Jibu,
Nawaza Mpaka Nadata..
Nikikuuliza Nini Dunia, Huwezi Kunipa Jibu,
Hapo Ndo Napata Utata..

Mmmh.. Muda Mwingine Unaweza Dhani Ni Utani,
Mbona, Vitu Vizuri Vyote Viwe Ni Vya Shetani..
Eti Mziki Shetani, Pesa Nazo Shetani,
Mpira Na Pombe Shetani..
Mademu Na Mihadarati, Shetani..

Naamini Mungu Yupo Najua,
Ndo Ananifanya Ninapumua..
Akitaka Hata Sasa Ananichukua,
Ila Mi Nataka Kujua..

Ni Nini Dunia..
Dunia Dunia..
Hivi Ni Nini Dunia..
Dunia Eeh..

Trending Now →  STAY LYRICS » RAYVANNY Ft. ABBY CHAMS (TANZANIA)

Mmmh Wanaoishi Kwa Imani,
Misikitini Makanisani..
Uwepo Wao Hauonekani,
Hali Zao Zipo Taabani..

Hivi Ulikuaga Wapi Before,
Hujaja Duniani..
Na Kwanini Kunakifo,
Unapokwenda Hapajulikani..

Sawa Safari Ni Yetu Sote,
Na Hakuna Aliyekwenda Na Akarudi..
Japo Kutusimulia,
Kama Pazuri Ama Pabaya..

Uwe Tajiri Ama Masikini,
Kwa Mchanga Utarudi..
Minatoa Wosia,
Tusiishi Kwa Ubaya..

Kunakidude Kinaitwa Mapenzi,
Hakijawahi Kueleweka..
Wakati Wewe Unalia,
Mwenzako Yeye Anacheka..

Hivi Ni Nini Dunia..
Dunia Dunia..
Ni Nini Dunia..
Dunia Eeh..

Eeh Pedezye Kumbuka,
Msalimia Mwijaku,

Tuombeane Mwisho Mwema.. (Eeh Eeh Yeah)
Tuombeane Mwisho Mwema..
(Maana Hakuna Anaejua Kesho)
Tuombeane Mwisho Mwema..
(Kama Wewe Muislamu)

Tuombeane Mwisho Mwema..
(Omba Kwa Dini Yako)
Tuombeane Mwisho Mwema..
(Kama Wewe Ni Mkristo)

Tuombeane Mwisho Mwema..
(Nisiri Nisiri)
Tuombeane Mwisho Mwema..
(Tuombeane Nisiri)

Ni Nini Dunia..
Dunia Dunia..
Hivi Ni Nini Dunia..
Hihiiiiiiii..

Written by : Harmonize

Dunia Lyrics » Harmonize (Kenya)

Dunia Lyrics » Harmonize (Kenya) » Official Music Video

*** NOTE:

Share This Lyrics :