Omoyo Remix Lyrics » Harmonize & Jane Misso | Lyrics Over A2z

Omoyo Remix Lyrics » Harmonize & Jane Misso | Lyrics Over A2z
Rate this Lyrics

Omoyo Remix Lyrics » Harmonize & Jane Misso : The Omoyo Remix Lyrics / Omoyo Remix Song Lyrics by Harmonize & Jane Misso is the Latest African (Kenya) Song of 2022. The Omoyo Remix Song is Sung by Harmonize & Jane Misso. The Omoyo Remix Song Music is Given by Harmonize. The Omoyo Remix Song Lyrics is Written by Harmonize. The Omoyo Remix Song is Released on 12th February, 2022. The Omoyo Remix Song is Presented by Harmonize.

Omoyo Remix Song Details :

SongOmoyo Remix
SingerHarmonize & Jane Misso
MusicHarmonize
LyricsHarmonize
Release Date12th February, 2022
LanguageAfrican (Kenya)
LabelHarmonize

Omoyo Remix Lyrics » Harmonize & Jane Misso

Omoyo..
Omoyo Yee,
Omoyo Kone
Nenenda Seba..

Omoyo..
Omoyo Yee,
Omoyo Kone
Nenenda Seba..

Omoyo..
Omoyo Yee,
Omoyo Kone
Nenenda Seba..

Omoyo..
Omoyo Yee,
Omoyo Kone
Nenenda Seba..

Wendo Ulishawishi
Ninywe Nikalewa Nikazima,
Sasa Ona Adi Watoto
Wananikosea Heshimaa..

Kwanini Usiseme Ile Pesa
Nikatone Kwa Yatima Eeeh,
Whh Moyo Konde
Enena Seba..

Trending Now →  FOUR WOMEN LYRICS » QUEEN IFRICA (AFRICA)

Na Walipo Sema Mke Wa Mtu Sumo
Moyo Ukasema Ninunue Maziwa,
Na Ukanishawishi Eti Japo Ni Mchungu
Mwisho Wake Nikafumaniwaa..

We Moyo Uambiliki, Utabiriki..
Omoyo Muoga Wa Dhiki,
Nan Do Maana Una Rafiki..

Naukisha Niweka Matatani,
Auonekani Unamsingizia Shetani..
Sasa Ukinigombanisha Na Ndugu Jirani,
Atanizika Nani Moyo Nione Imani..

Omoyo..
Omoyo Yee,
Omoyo Kone
Nenenda Seba..

Omoyo..
Omoyo Yee,
Omoyo Kone
Nenenda Seba..

Omoyo..
Omoyo Yee,
Omoyo Kone
Nenenda Seba..

Omoyo Wee Mpenda Vizuri, Vizuri
We Ndo Unanifanya Nionekane Kiburi, Kiburi
Na Ukitaka Lako Utavunja Ata Kufuli
Na Kisema Mia Uitaki Sifuri, Sifuri..

Aaha Ivi Kwanini Upendeki Moyo,
Auzeeki Moyo,
Au Seomeki Moyo,
Ata Umpe Dunia Au Tosheki Moyo..

Unacho Taka Nanunua
Naukipata Unataka Tofauti,
Tena Mbovu Wa Kuchagua Una
Viatu Unatamani Suti..

Omoyo Kuonge Unajua Kuongea
Cha Ajabu Autoi Sauti,
Ivi Uko Kwa Kichwa Ama Kwa Kifua Sema
Moyo Nikutoe Baruti..

Naukisha Niweka Matatani,
Auonekani Unamsingizia Shetani..
Sasa Ukinigombanisha Na Ndugu Jirani,
Atanizika Nani Moyo Nione Imani..

Omoyo..
Omoyo Yee,
Omoyo Kone
Nenenda Seba..

Trending Now →  JUGNI Lyrics » Diljit Dosanjh (Punjabi & African Version)

Omoyo..
Omoyo Yee,
Omoyo Kone
Nenenda Seba..

Omoyo..
Omoyo Yee,
Omoyo Kone
Nenenda Seba..

Omoyo..
Omoyo Yee,
Omoyo Kone
Nenenda Seba..

Omoyo.. (Omoyo..)
Omoyo Yee (Omoyo Yee),
Omoyo Kone
Nenenda Seba..

Written by : Harmonize

Omoyo Remix Lyrics » Harmonize & Jane Misso

Omoyo Remix Lyrics » Harmonize & Jane Misso » Official Music Video

https://www.youtube.com/watch?v=Luj_vFdImVs
Share This Lyrics :