Leave Me Alone Lyrics » Harmonize Ft. Abigail Chams

Leave Me Alone Lyrics » Harmonize Ft. Abigail Chams
5/5 - (1 vote)

Leave Me Alone Lyrics » Harmonize Ft. Abigail Chams : The Leave Me Alone Lyrics / Leave Me Alone Song Lyrics by Harmonize Ft. Abigail Chams is the Latest African (Swahili) Song of 2022. The Leave Me Alone Song is Sung by Harmonize Ft. Abigail Chams. The Leave Me Alone Song Music is Given by Harmonize & Abigail Chams & The Lyrics is Written by Harmonize & Abigail Chams. The Leave Me Alone Song is Released on 18th October, 2022. The Leave Me Alone Song is Presented by Harmonize.

Leave Me Alone Song Details :

Song TitleLeave Me Alone
SingerHarmonize Ft. Abigail Chams
MusicHarmonize & Abigail Chams
LyricsHarmonize & Abigail Chams
Release Date18th October, 2022
LanguageAfrican (Swahili) (Country : Tanzania) | Rock
LabelHarmonize

Leave Me Alone Lyrics » Harmonize Ft. Abigail Chams

I Don’t Need Nobody,
Akinipenda Mungu Inatosha..
Yeah I Don’t Need Nobody,
I Don’t Need Nobody Yeah Yeah..
Akinipenda Mungu Inatosha..

I Don’t Need Nobody..
I Don’t Need Nobody..

Trending Now →  MY ABEBO Lyrics » BAHATI & PRINCE INDAH

Tulio Ishi Kwa Ndugu Ndio,
Tunazijua Hustle..
Kula Na Kulala Manyanyaso,
Fungasha Urudi Kijijini Best Naso..

Mi Akinipenda Mungu Inatosha,
Mwengine Atakusave Kwenye Shida..
Utamdhani Rafiki Wa Faida,
Kumbe Moyoni Ana Kuchukulia Barida..

Siku Ukifanikiwa Zinaanza Shida,
Yes Now Am Going To Another Level..
Sito Tumia Ndumba Wala Nguvu Za Devil,
Simuitaji Mwijaku H, Na Baba Levo..

Mi Akinipenda Mungu Inatosha,
Yes Mi Napenda Marafiki..
Wale Wanao Kuwepo Wakati Wa Dhiki,
Sio Wanao Kuja Deal Zikitiki…
Sipendi Unafiki Akinipenda Mungu,
Inatosha No No No..

Akinipenda Mungu Inatosha,
Yeah I Don’t Need Nobody..
I Don’t Need Nobody Yeah Yeah,
Akinipenda Mungu Inatosha..

I Don’t Need Nobody…
I Don’t Need Nobody..

Eti Kisa Unani Follow Unanipangia Cha Kuposti,
Me Siku Follow Shobo Zako Zinaku Cost..
We Ni Unfollow Usiniletee Mikosi,
Akinipenda Mungu Inatosha..

Ukiniona Kutwa Nipo Ndnai Sina Tatizo,
Na Majirani Ila Sitaki Wanijue Kiundani..
Akipenda Mungu Inatosha,
Yeah I Swear To My Dead Body..

Simuamini Rafiki Anae Nilipia Kodi,
Pengine Anafurahi Mi Kumpigia Hodi..
Akinipenda Mungu Inatosha,
Yes Mi Napenda Marafiki..

Trending Now →  Huyu Hapa Lyrics » Mbosso

Wale Wanao Kuwepo Wakati Wa Dhiki,
Sio Wanao Kuja Deal Zikitiki..
Sipendi Unafiki Akinipenda Mungu,
Inatosha No No No..

Akinipenda Mungu Inatosha,
Yeah I Don’t Need Nobody..
I Don’t Need Nobody Yeah Yeah,
Akinipenda Mungu Inatosha..

I Don’t Need Nobody..
I Don’t Need Nobody..

Akinipenda Mungu Inatosha,
I Don’t Need Nobody..
I Don’t Need Nobody..

Akinipenda Mungu Inatosha,
I Don’t Need No..
I Don’t Need No..

I Don’t Need Nobody,
Akinipenda Yeh..
Akinipenda Mungu,
I Don’t Need No No Nobody..

Leave Me Alone Lyrics » Harmonize Ft. Abigail Chams

Written by : Harmonize & Abigail Chams

Leave Me Alone Lyrics » Harmonize Ft. Abigail Chams » Official Music Video

If You Love “Leave Me Alone Lyrics » Harmonize Ft. Abigail Chams“, Then Please Do Not Forget To Share It To Your Friends On Social Media. A Share From You Will Inspire Us To Bring You New Song Lyrics.

If You Want To Read The Lyrics Of Any Of Your Favorite Songs, Feel Free To Contact Us By Filling The Contact Us Form. We Will Try Our Best (24/7) To Bring You The Lyrics Of Your Favorite Song. Keep Enjoying New Song Lyrics With Lyrics Over A2z. Have A Very Nice Day!

Share This Lyrics :