Yanga Mwamba Lyrics » Rayvanny : The Yanga Mwamba Lyrics / Yanga Mwamba Song Lyrics by Rayvanny is the Latest African (Swahili) Song of 2023. The Yanga Mwamba Song is Sung by Rayvanny. The Yanga Mwamba Song Music is Given by Rayvanny & The Lyrics is Written by Rayvanny. The Yanga Mwamba Song is Released on 20th May, 2023. The Yanga Mwamba Song is Presented by Rayvanny.
Yanga Mwamba Song Details :
Song Title | Yanga Mwamba |
Singer | Rayvanny |
Music | Rayvanny |
Lyrics | Rayvanny |
Release Date | 20th May, 2023 |
Language | African (Country : Tanzania) | Rock |
Label | Rayvanny |
Yanga Mwamba Lyrics » Rayvanny
Nawaleta Mabingwa,
Wetu Muwaone..
Nawaleta Mabingwa,
Wetu Muwaone..
Yanga Hawa Hapa..
Yanga Hawa Hapa..
Yanga Hawa Hapa..
Yanga Hawa Hapa..
Namleta Rais,
Hersi Mumuone..
Namleta Gsm,
Bosi Mumuone..
Mwamba Huyu Hapa..
Mwamba Huyu Hapa..
Mwamba Huyu Hapa..
Mwamba Huyu Hapa..
Mabibi Na Mabwana!!
Nawaletea Mabingwa Hao!!
Kwanza Tukifa Hatuozi Yanga,
Hatuna Matatizo Yanga..
Yanga Hatuna Baya Yanga,
Yaani Tumenyooka..
Tulizunguka Kila Kona,
Kutafuta Furaha Ya Moyo..
Mungu Katupa Yanga Inayotufaa,
Makolo Najua Inawachoma Mkaroge..
Tanga Bagamoyo..
Mungu Kapanga Yeye,
Hamuwezi Kukataa..
Twaikumbatia Hamtufanyi Chochote,
Tena Yanga Yetu..
Twaichumu Hamsemi Chochote,
Twaipenda Pia..
Hamtufanyi Chochote,
Sisi Ni Yanga..
Twatamba Hatumuogopi Yoyote..
Wananchi Mbele,
Yanga Mbele Mbele..
Wananchi Mbele,
Yanga Mbele Mbele..
Acha Tusonge Mbele Daima,
Mbele.. Mbele..
Acha Tusonge Mbele Daima,
Mbele.. Mbele..
Nawaleta Mabingwa,
Wetu Muwaone..
Nawaleta Mabingwa,
Wetu Muwaone..
Yanga Hawa Hapa..
Yanga Hawa Hapa..
Yanga Hawa Hapa..
Yanga Hawa Hapa..
Namleta Rais,
Hersi Mumuone..
Namleta Gsm,
Bosi Mumuone..
Mwamba Huyu Hapa..
Mwamba Huyu Hapa..
Mwamba Huyu Hapa..
Mwamba Huyu Hapa..
Sisi Ndo Vinara Yanga,
Tena Tunang’ara Yanga..
Muulize Manara,
Si Ndo Tunatawala..
Raundi Hii Hatuachi Nafasi,
Kashasema Harafati..
Ali Kamwe Katuruhusu,
Tuvimbe Hata Kama Hawataki..
Tulizunguka Kila Kona,
Kutafuta Furaha Ya Moyo..
Mungu Katupa Yanga Inayotufaa,
Makolo Najua Inawachoma Mkaroge..
Tanga Bagamoyo,
Mungu Kapanga Yeye ..
Hamuwezi Kukataa..
Twaikumbatia Hamtufanyi Chochote,
Tena Yanga Yetu..
Twaichumu Hamsemi Chochote,
Twaipenda Pia..
Hamtufanyi Chochote Sisi Ni Yanga!!
Twatamba Hatumuogopi Yoyote!!
Wananchi Mbele,
Yanga Mbele Mbele..
Wananchi Mbele,
Yanga Mbele Mbele..
Acha Tusonge Mbele Daima,
Mbele Mbele..
Acha Tusonge Mbele Daima,
Mbele Mbele.
Nawaleta Mabingwa,
Wetu Muwaone..
Nawaleta Mabingwa,
Wetu Muwaone..
Yanga Hawa Hapa..
Yanga Hawa Hapa..
Yanga Hawa Hapa…
Yanga Hawa Hapa..
Namleta Rais,
Hersi Mumuone..
Namleta Gsm,
Bosi Mumuone..
Mwamba Huyu Hapa..
Mwamba Huyu Hapa..
Mwamba Huyu Hapa..
Mwamba Huyu Hapa..
Yanga Mwamba Lyrics » Rayvanny
Written by : Rayvanny
Yanga Mwamba Lyrics » Rayvanny » Official Music Video
*** NOTE : If You Love “Yanga Mwamba Lyrics » Rayvanny“, Then Please Do Not Forget To Share It To Your Friends On Social Media. A Share From You Will Inspire Us To Bring You New Song Lyrics.
- If You Want to Request Any Song Lyrics, Follow this Link → “Request A Song Lyrics”.
- If You Want to Submit Your Own Lyrics, Follow this Link → “Submit Lyrics”.
- If You Find Any Mistake in Our Lyrics, then Request for Correction that Lyrics. Follow this Link → “Lyrics Correction Request”.
- If You Want to Translate Any Lyrics to Your Own Language (Like – English to Arabic, English to German etc.), Just Follow this Link → “Song Translation Request”.
- Also You Can Share Your Experience with us through a Feedback, Follow this Link → “Give Feedback”.
If You Want To Read The Lyrics Of Any Of Your Favorite Songs, Feel Free To Contact Us By Filling The Contact Us Form. We Will Try Our Best (24/7) To Bring You The Lyrics Of Your Favorite Song. Keep Enjoying New Song Lyrics With Lyrics Over A2z. Have A Very Nice Day!