Toto Lyrics » Willy Paul (Kenya) | Lyrics Over A2z

Toto Lyrics » Willy Paul (Kenya) | Lyrics Over A2z
Rate this Lyrics

Toto Lyrics » Willy Paul (Kenya) : The Toto Lyrics / Toto Song Lyrics by Willy Paul is the Latest African Song of 2022. The Toto Soong is Sung by Willy Paul. The Toto Song Music is Given by Willy Paul. The Toto Song Lyrics is Written by Willy Paul. The Toto Song is Released on 21st January, 2022. The Toto Song is Presented by Willy Paul Thee Pozze.

Toto Song Details :

SongToto
SingerWilly Paul
MusicWilly Paul
LyricsWilly Paul
Release Date21st January, 2022
LanguageAfrican (Kenya)
LabelWilly Paul Thee Pozze

Toto Lyrics » Willy Paul (Kenya)

Haa.. Haa- Haa..
Michezo Yako Kinasty Nasty,
Biggy Biggy Heavy Heavy,
Mama Mimi Napendaga,
Uuaaahhoo..

Ulivyoshona Konongo Nongo,
Ukidunga Sketi Alafu Uiname Chini,
Unanimaliza Mmmh..

Ukifunga Dera Unanimaliza..
Michezo Ya Chumbani, Oi Nakufa..
Unanimaliza Ooh Mama..

Wewe Ni, My Sugar Sukari,
Ulivyozidi Utamu, Nikuite Asali..

To-to-to Mama..
To-to Toto Mama..
To-to-to Mama..
To-to Toto Mama..

Hey Hey Toto Toto..
Unanimada Toto Ooh, Hey Toto..
Oh Toto Toto-oh To
Hey Hey Toto Toto..
Unanimada Toto Ooh, Hey Toto..

Trending Now →  JUGNI Lyrics » Diljit Dosanjh (Punjabi & African Version)

Una Siri Gani Hapo Kwa Mauno,
Mtoto Wa Salome Anamwaga Mpaka Bone Marrow..
Hey Baby !!
Au Labda Unatumia Annointing Oil Vibaya,
Coz Unavyorombosa Kwa Paja Rombosa,
Sijawai Ona..

Toto Uko Heavy Nibebe Bebe,
Nizame Topeni Nigware Gware,
Si Mi Ndiye Fundi Wa Kuchelewesha..
Bwana Slow Motion..

Na Wazee Wa Boma
Walishasema Ni We Mama Lao..
Basi Mi Ndio Baba Lao
(Oooh Yaga Yaaah)

Na Wazee Wa Boma,
Walishasema Ni We Mama Lao
Heeyy !!
Basi Mi Ndio Baba Lao.. (Baby)

To-to-to Mama..
To-to Toto Mama..
To-to-to Mama..
To-to Toto Mama..

Hey Hey Toto Toto..
Unanimada Toto Ooh, Hey Toto..
Oh Toto Toto-oh To..
Hey Hey Toto Toto
Unanimada Toto Ooh, Hey Toto..

Hey Hey Toto Toto..
Unanimada Toto Ooh, Hey Toto..
Oh Toto Toto-oh To..
Hey Hey Toto Toto
Unanimada Toto Ooh, Hey Toto..

Written by : Willy Paul

Toto Lyrics » Willy Paul (Kenya)

Toto Lyrics » Willy Paul (Kenya) » Official Music Video

Share This Lyrics :