TAMU LYRICS » MACVOICE Ft. RAYVANNY (KENYA)

TAMU LYRICS » MACVOICE Ft. RAYVANNY (KENYA)

TAMU LYRICS » MACVOICE Ft. RAYVANNY (KENYA) : The Tamu Lyrics / Tamu Song Lyrics by Macvoice Ft. Rayvanny is the Latest African Song of 2021. The Tamu Song is Sung by Macvoice Ft. Rayvanny. The Tamu Song Music is Given by Vanny Boy, Macvoice. The Tamu Song Lyrics is Written by Macvoice & Rayvanny. The Tamu Song is Released on 7th October, 2021. The Tamu Song is Presented by Rayvanny.

Tamu Song Details :

SongTamu
SingerMacvoice Ft. Rayvanny
MusicVanny, Macvoice
LyricsMacvoice & Rayvanny
Release Date7th October, 2021
LanguageAfrican (Kenya)
LabelRayvanny

TAMU LYRICS » MACVOICE Ft. RAYVANNY (KENYA)

Tamu, Tamu (Eyo Trone)
Tamu, Tamu (Ayo Lizer)

Sura Tisi Chocolate
Kidoti Joketi Katoto Ni Keki
Eh Nitamwaga Bajeti, Nikape Tiketi
Kunipeti Peti..

Eh Ulivyojazia Ukinisusia
Itanizidia Eeh
Nang’ang’ania Sitokuachia
Unanipatia Eeh

Sambusa Kachori,
Napenda Macho Yako Gololi
Nisharuka Nikajoli,
Tucheze Kuchikuchi Kwenye Mapori..

Sambusa Kachori,
Napenda Macho Yako Gololi
Nisharuka Nikajoli,
Tucheze Kuchikuchi Kwenye Mapori..

Alamba (Tamu)..
Ah Alamba Tena (Tamu)..
Oh Alamba (Tamu)..
Ah Alamba Tena (Tamu)..

Ah Alamba (Tamu)..
Ah Alamba Tena (Tamu)..
Oh Alamba (Tamu)..
Ah Alamba Tena (Tamu)..

Eu.. Vanny Boy,
(No No No No No)

Alamba Ta,
Mutamu Napenda Ukitabasamu
Unavyonipa Kwa Mashamu Mashamu
Hujaniita Naka-mukamu..

Hye Eh, Nitachuchumia Na Kuning’inia
Nipekupania Yooh..
Nitakusugulia Ka Steel Wire
Na Masufuria Yoh..

Nikisimama We Lala, Tamu Tamu..
Nipe Nguru Sangara, Tamu Tamu..
Ukikamata Mnara, Tamu Tamu..
Nitulize Papara, Tamu Tamu..

Sambusa Kachori,
Tafuna Tango Ghetto Si Za Mori..
Nisharuka Nikajoli,
Tucheze Kuchikuchi Kwenye Mapori..

Sambusa Kachori,
Tafuna Tango Ghetto Si Za Mori..
Nisharuka Nikajoli,
Tucheze Kuchikuchi Kwenye Mapori..

Alamba (Tamu)..
Ah Alamba Tena (Tamu)..
Oh Alamba (Tamu)..
Ah Alamba Tena (Tamu)..

Ah Alamba (Tamu)..
Ah Alamba Tena (Tamu)..
Oh Alamba (Tamu)..
Ah Alamba Tena (Tamu)..

Nimeshakupa Seat,
Ukae Mwenyewe Ujinafasi,
Siwezi Kukucheat,
Basi Niamini Ndo Waasi..

Mi Ni Mfungwa Kwenye Jela Yako,
Nifungwe Milele, (Milele)..
Kweli Pombe Ya Mapenzi Yako,
Niacheni Nilewe, (Nilewe)..

Sambusa Kachori,
Napenda Macho Yako Gololi..
Nisharuka Nikajoli,
Tucheze Kuchikuchi Kwenye Mapori..

Sambusa Kachori,
Napenda Macho Yako Gololi
Nisharuka Nikajoli,
Tucheze Kuchikuchi Kwenye Mapori..

Alamba (Tamu)..
Ah Alamba Tena (Tamu)..
Oh Alamba (Tamu)..
Ah Alamba Tena (Tamu)..

Ah Alamba (Tamu)..
Ah Alamba Tena (Tamu)..
Oh Alamba (Tamu)..
Ah Alamba Tena (Tamu)..

Written by : Macvoice & Rayvanny

TAMU LYRICS » MACVOICE Ft. RAYVANNY (KENYA)

TAMU LYRICS » MACVOICE Ft. RAYVANNY (KENYA) » Official Music Video

Most Viewed Lyrics :
Share This Lyrics :

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top