Sitosema Lyrics » Ibraah (Tanzania) | Lyrics Over A2z

Sitosema Lyrics » Ibraah (Tanzania) | Lyrics Over A2z
1/5 - (1 vote)

Sitosema Lyrics » Ibraah (Tanzania) : The Sitosema Lyrics / Sitosema Song Lyrics by Ibraah is the Latest African Song of 2022. The Sitosema Song is Sung by Ibraah. The Sitosema Song Music is Given by Ibraah & The Lyrics is Written by Ibraah. The Sitosema Song is Released on 27th July, 2022. The Sitosema Song is Presented by Ibraah.

Sitosema Song Details :

Song TitleSitosema
SingerIbraah
MusicIbraah
LyricsIbraah
Release Date27th July, 2022
LanguageAfrican (Tanzania) | Sad
LabelIbraah

Sitosema Lyrics » Ibraah (Tanzania)

Kalunde Takatuka Twende Mwanda,
Weeh Aaah Mwanda Wee..
Sekunde Maana Muda Ndo Umesonga,
Wee Aaah Songa Weeeh..

Sema Wande Japo Umeniona Mushamba,
Weee Aaah Mshamba Wee..
Muda Sekunde Mungu Baba Ndo Amepanga Weee,
Aaah Panga Weeh..

Huna Huruma Weeeh,
Tena Ulinicheat Na Vizeee Aaah..
Vikongwe Aah Ulikuwa Busy,
Aaah Mama Wewe Na Moyo,
Weeeh Mmmh..

Nilivyokufuma Weee Ilinibidi ,
Tu Kwa Upole Nikuulize..
Niliogopa Kukupiga Nsikuumize,
Aaah Mama Wee Kwa Upole Weeh..

Trending Now →  Dear My Love Lyrics » Big Zulu Ft. K.O, Siya Ntuli & Xowla

Wala Sikuringiaga Ustar Kukubeza,
Eti Mimi Kukunyanyasa Nilikutunza,
Wala Sikuwa Tasa..

Maana Mimba Yangu Uliitoa,
Masikini Moyo Wangu,
Nshautakasa Sina Kinyongo Nawe..

Hata Sasa Maana Nimefungua Mpya Kurasa,
Ila Sikufichi Moyo Umeutoboa..

Yako Ya Ndani,
(Sitosema Mi Sitosema)..
Ata Yale Ya Ndani,
(Sitosema Mi Sitosema)..

Ata Siri Za Kitandani,
(Sitosema Mi Sitosema)..
Ata Yale Mabaya,
( Sitosema Mi Sitosema)..
Sitosema Na Sisemi Tena..

Acha Tu Nikuite Wandoto,
Mama Weee..

Umeniacha Na Msoto Ujue Mida Ya Kula..
Nakumbukaga Vile Nilivyokulisha Ukanilisha,
Na Michezo Ya Chumbani,
Mi Deko Mama Weee..

Ile Michezo Ya Kitoto Ujue Bado,
Mimi Inansumbuaga..
Kichwani Mwangu Haitokagi Kabisa..

Eeeh Siwezi Kung’ang’ania,
Kimwana Wakati Moyo Wako..
Haunihitaji Tena Acha Mi Nijinyime Ninywe,
Nizime Huenda Kesho Sitokumbuka Tena..

Mapema Sikudhania Kimwana Kama Bazoka,
Utanimeza Utantema Acha Nizingatie Heshima..
Nikupatie Nenda Salama Sitokusumbua Tena..

Wala Sikuringiaga Ustar Kukubeza,
Eti Mimi Kukunyanyasa,
Nilikutunza Wala Sikuwa Tasa..
Maana Mimba Yangu Uliitoa..

Masikini Moyo Wangu,
Nshautakasa Sina Kinyongo Nawe..
Hata Sasa Maana Nimefungua Mpya Kurasa,
Ila Sikufichi Moyo Umeutoboa..

Trending Now →  ADDICTION LYRICS » IBRAAH Ft. HARMONIZE » Lyrics Over A2z

Yako Ya Ndani,
(Sitosema Mi Sitosema)..
Ata Yale Ya Ndani,
(Sitosema Mi Sitosema)..

Ata Siri Za Kitandani,
(Sitosema Mi Sitosema)..
Ata Yale Mabaya,
( Sitosema Mi Sitosema)..
Sitosema Na Sisemi Tena..

Huna Huruma Weeeh,
Tena Ulinicheat Na Vizeee Aaah..
Vikongwe Aah Ulikuwa Busy Aaah,
Mama Wewe Na Moyo Weeeh Mmmh..

Sitosema Lyrics » Ibraah (Tanzania)

Written by : Ibraah

Sitosema Lyrics » Ibraah (Tanzania) » Official Music Video

If You Love “Sitosema Lyrics » Ibraah (Tanzania)“, Then Please Do Not Forget To Share It To Your Friends On Social Media. A Share From You Will Inspire Us To Bring You New Song Lyrics.

If You Want To Read The Lyrics Of Any Of Your Favorite Songs, Feel Free To Contact Us By Filling The Contact Us Form. We Will Try Our Best (24/7) To Bring You The Lyrics Of Your Favorite Song. Keep Enjoying New Song Lyrics With Lyrics Over A2z. Have A Very Nice Day!

Share This Lyrics :