OYA OYA LYRICS » ALIKIBA : The Oya Oya Lyrics / Oya Oya Song Lyrics by Alikiba is the Latest African Song of 2021. The Oya Oya Song is Sung by Alikiba. The Oya Oya Song Music is Given by Yogo Beats. The Oya Oya Song Lyrics is Written by Alikiba. The Oya Oya Song is Released on 7th October, 2021. The Oya Oya Song is Presented by Alikiba.
Oya Oya Song Details :
Song | Oya Oya |
Singer | Alikiba |
Music | Yogo Beats |
Lyrics | Alikiba |
Release Date | 7th October, 2021 |
Language | African (Love) |
Label | Alikiba |
OYA OYA LYRICS » ALIKIBA
Aah Aaah Aah…
Oh Ayoo, Ooh Ayoo Ayoo Ooh
Eeh Eeh.. Mmm-mmh
(Yogo On The Beats)
Chovya Choyo
Uko Ng’ari Ng’ari Mama
Wa Majuu
Ushakukubali Moyo..
Nakuita Eh, Nakuita
Nisikie Mami..
Makopa Makopa Yanajiita
Jina Lako Nani?
We Ni Moko, Limenipotosha..
Nikutinge Moka, Tai Na Suti Eh..
We Kocha Kocha, Hatari Na Nusu..
Nafunganga Moko, Dakika Buku..
Kama Kupenda Nimedhaminia Kwako
Sa Oya Oya..
Naheshimu Mapenzi Kutoka Kwako
Sa Oya Oya..
Nikuoe Ndo Uone Mama
Sa Oya Oya..
Na Ni Mwendo Wangu Ooh
Mama Ooh..
Oya Oya, Oya Oya Eh.
Oya Oya, Oya Oya Aah.
Navimba Najiona Mwamba,
Kwenye Mboni Siruhusu Chongo Maa Yoo..
Yaani Kama Noma Na Iwe Noma Yoo,
Waonyeshe Kipenzi Changu Cha Ngama..
Waite Yoo, Waite Ite..
Waite Yoo, Waite Ite..
Waite Ite, Waite Ite Ite Aah..
Waite Oooh, Waite Te Yoo..
Nakuita Eh, Nakuita
Nisikie Mami..
Makopa Makopa Yanajiita
Jina Lako Nani?
We Ni Moko, Limenipotosha..
Nikutinge Moka, Tai Na Suti Eh..
We Kocha Kocha, Hatari Na Nusu..
Nafunganga Moko, Dakika Buku..
Kama Kupenda Nimedhaminia Kwako
Sa Oya Oya..
Naheshimu Mapenzi Kutoka Kwako
Sa Oya Oya..
Nikuoe Ndo Uone Mama
Sa Oya Oya..
Na Ni Mwendo Wangu Ooh
Mama Ooh..
Oya Oya, Oya Oya Eh..
Oya Oya, Oya Oya Aah..
Written by : Alikiba