ONE DAY LYRICS » DIANA BAHATI (KENYA) » Lyrics Over A2z

ONE DAY LYRICS » DIANA BAHATI (KENYA) » Lyrics Over A2z

ONE DAY LYRICS » DIANA BAHATI (KENYA) : The One Day Lyrics / One Day Song Lyrics by Diana Bahati is the Latest African Song of 2021. The One Day Song is Sung by Diana Bahati. The One Day Song Lyrics is Written by Diana Bahati. The One Day Song is Released on 3rd December, 2021. The One Day Song is Presented by Diana Bahati.

One Day Song Details :

SongOne Day
SingerDiana Bahati
LyricsDiana Bahati
Release Date3rd December, 2021
LanguageAfrican (Kenya)
LabelDiana Bahati

ONE DAY LYRICS » DIANA BAHATI (KENYA)

Kabla Mama Hajazima
Aliniambia Kuna One Day
Diana B On This
Teddy B!

Wengi Walianza Mbele Yangu
Saa Hii Hakuna Mtu Mbele Yangu,
Kwa Uwanja Nasimama Peke Yangu,
Na Pande Ya Wanaume Noana Tu, Pete Yangu..

Nashukuru Mungu Kwa Ma Blessings
Na Mi Siishigi Na Ma Settings,
Hata Kuzaa Tu Maingia Trending,
Najua Nawaudhi Sana Wale Wanipendi..

Nafunga Deals Kama Ramadham
Navuruga Industry Ki Afghanistan,
Bad Girl, Dal Done
Kichwa Mbaya Nickname Yangu Taliban..

Kabla Mama Hajazima,
Alinimbia Kuna One Day,
Nikijikaza Nikijituma,
Nitaenjoy Some Day..

Kabla Mama Hajazima,
Alinimbia Kuna One Day,
Nikijikaza Nikijituma,
Nitaenjoy Some Day..

James Bond Niite 007,
Nabring Destruction Kama 911,
Wanasema Nimeoa Boy Wa 97,
Na Huyo Katumbo Ati Nani Baba Heaven..

Kama Ni Mistari, Siwezi Miscarry,
Na Deliver Kama Mkunga Hospitali,
Niki Miss Party Is A Big Worry,
Freezz, Ka Msafari Ame Miss Gari..

Nafunga Deals Kama Ramadham,
Navuruga Industry Ki Afghanistan,
Bad Girl, Dal Done,
Kichwa Mbaya Nickname Yangu Taliban..

Kabla Mama Hajazima,
Alinimbia Kuna One Day,
Nikijikaza Nikijituma,
Nitaenjoy Some Day..

Kabla Mama Hajazima,
Alinimbia Kuna One Day,
Nikijikaza Nikijituma,
Nitaenjoy Some Day..

Join Our Community Now!


Written by : Diana Bahati

ONE DAY LYRICS » DIANA BAHATI (KENYA)

ONE DAY LYRICS » DIANA BAHATI (KENYA) » Official Music Video

Most Viewed Lyrics :
Share This Lyrics :

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top