Nioneshe Lyrics » Maua Sama Ft. Alikiba | Lyrics Over A2z

Nioneshe Lyrics » Maua Sama Ft. Alikiba | Lyrics Over A2z
2/5 - (1 vote)

Nioneshe Lyrics » Maua Sama Ft. Alikiba : The Nioneshe Lyrics / Nioneshe Song Lyrics by Maua Sama Ft. Alikiba is the Latest African Song of 2022. The Nioneshe Song is Sung by Maua Sama Ft. Alikiba. The Nioneshe Song Music is Given by Alikiba. The Nioneshe Song Lyrics is Written by Maua Sama & Alikiba. The Nioneshe Song is Released on 13th July, 2022. The Nioneshe Song is Presented by Maua Sama.

Nioneshe Song Details :

SongNioneshe
SingerMaua Sama Ft. Alikiba
MusicAlikiba
LyricsMaua Sama & Alikiba
Release Date13th July, 2022
LanguageAfrican (Love)
LabelMaua Sama

Nioneshe Lyrics » Maua Sama Ft. Alikiba

Hey Baby..
I Tell You, This Is For Me And You.
You Know I Love You Right?
We Have To Focus On Our Vision.
Please Don’t Listen To Them..

Ooohh Baby,
Ukinigusa Nyang’ang’anya Mwenzako..
Sijiwezi,
Mi Kipofu Napapasa Juu Yako..

Nahisi Hakuna Amani,
Nisipokuona Nyumbani Moyo Unajawa Tafarani..
Kuchi Kuchi Chumbani Haziishi Kichwani,
Hasa Pale Ukiwa Mbali Nami..

Trending Now →  Run Up Lyrics » Otile Brown | Lyrics Over A2z

Chochea Kuni Kwa Kishindo Jiko Lako Ni Mimi,
Unipe Joto Joto Mpenzi Kwenye Baridi..

Nitang’ang’ana Nawe Nitabaki Nawe,
Sitokuacha Mpweke Hey..
Shika Nishikilie Usiniache Mimi,
Chunga Wasiniteke Hey..

Honey Mi Kwako Nazima Taa,
Nitafune Unavyotaka..
Kiuno Sindimba Chakacha,
Serebuka Unavyotaka Heyy..

Nioneshe.. (Ooh Aaah)
Niweke.. (Eeeh) Tepetepe.. (Please Show Me)
Nioneshe.. (Oooh Girl) Niweke.. (Aaah)
Tepetepe.. (Mwendo Ule Ule)

Nioneshe.. (Ooh Aaah)
Niweke.. (Eeeh) Tepetepe.. (Please Show Me)
Nioneshe.. (Oooh Girl) Niweke.. (Aaah)
Tepetepe.. (Mwendo Ule Ule)

I Like The Way I Touch Your Body,
I Like The Way I Touch Your Body Maaa..
I Like The Way I Touch Your Body,
(Oooh Noo/oooh Noo Me Love)

Sina Kauli Kwako,
I Don’t Know What To Say..
Utundu Wako, Unauweza Show..
Kiukweli Unanijali Mpaka Unaiota Oooh Me Love..

I Like The Way I Touch Your Body,
I Like The Way I Touch Your Body Maaa..
I Like The Way I Touch Your Body,
(Oooh Noo/oooh Noo Me Love)

Honey Mi Kwako Nazima Taa,
Nitafune Unavyotaka..
Kiuno Sindimba Chakacha,
Serebuka Unavyotaka Heyy..

Nioneshe.. (Ooh Aaah)
Niweke.. (Eeeh) Tepetepe.. (Please Show Me)
Nioneshe.. (Oooh Girl) Niweke.. (Aaah)
Tepetepe.. (Mwendo Ule Ule)

Trending Now →  Moyo Lyrics » Mbosso Ft. Costa Titch & Phantom Steeze

Nioneshe.. (Ooh Aaah)
Niweke.. (Eeeh) Tepetepe.. (Please Show Me)
Nioneshe.. (Oooh Girl) Niweke.. (Aaah)
Tepetepe.. (Mwendo Ule Ule)

Written by : Maua Sama & Alikiba

Nioneshe Lyrics » Maua Sama Ft. Alikiba

Nioneshe Lyrics » Maua Sama Ft. Alikiba » Official Music Video

*** NOTE:

Share This Lyrics :