NAANZAJE LYRICS » DIAMOND PLATNUMZ (KENYA)

NAANZAJE LYRICS » DIAMOND PLATNUMZ (KENYA)

NAANZAJE LYRICS » DIAMOND PLATNUMZ (KENYA) : The Naanzaje Lyrics / Naanzaje Song Lyrics by Diamond Platnumz is the Latest African (Kenya) Song of 2021. The Naanzaje Song is Sung by Diamond Platnumz. The Naanzaje Song is Released on 5th September, 2021. The Naanzaje Song is Presented by Diamond Platnumz.

Naanzaje Song Details :

SongNaanzaje
SingerDiamond Platnumz
Release Date5th September, 2021
LanguageAfrican (Kenya)
LabelDiamond Platnumz

NAANZAJE LYRICS » DIAMOND PLATNUMZ (KENYA)

Ayolizer!

Aliumba Ardhi Akaumba Mbingu
Akaumba Mbaramwezi
Kaumba Nafsi, Kaumba Wivu
Akayaumba Na Mapenzi

Na Kukuacha Sidhan
Siwezi Jaribu
Maana Penzi Kwa Mzani

Umenizidi Mahabibu
Shika Vyema Usukani
Twende Taratibu
Baada Ya Tuta Baby Koleza Gia

Yani Tam Tam Kama Pipi
Nakuita Sweet
Ah Lote Lote

Fundi Kwenye Kwichikwichi
Shape Vipi
Kama Lote

Vicheche Nisha Delete
Sitaki Cheat
Wa Toke Toke
Kwenye Moyo Nimekupa Seat
We Ndo Dereva,
Sio Wa Kukuacha Oh

Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje
Mwenzako Kukuacha Siwezi
Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje
Kukuacha Oh, Kabisa Siwezi

Hadithi Kuja Hadithi Njoo
Utamu Kolea
Mzenzenu Huba Liko Kwa Roho
Limeninogea

Vishenshuda Poleni Wooo
Mnalo Wambeya
Mtaja Kuumwa Makwasha Koo
Kwa Kutuongelea

Tena Me Kwake Ndo Daktari
Nampa Tiba Halali
Wanaitaga Sukari
Alamba Haam

Na Jana Nilifunga Nkasali
Nikamuomba Jalali
Tuepushe Madhohari
Ya Wanadamu

Ah Ah, We Tam Tam Kama Pipi
Nakuita Sweet
Ah Lote Lote

Fundi Kwenye Kwichikwichi
Shape Vipi
Kama Lote

Vicheche Nisha Delete
Sitaki Cheat
Wa Toke Toke
Kwenye Moyo Nimekupa Seat
We Ndo Dereva,
Sio Wa Kukuacha Oh

Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje
Mwenzako, Kukuacha Siwezi
Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje
Kukuacha Oh, Kabisa Siwezi

Na Kukuacha Sidhani
Siwezi Jaribu
Maana Penzi Kwa Mzani
Umenizidi Mahabibu
Wasafi..

Written by : Team Lyrics Over A2z

NAANZAJE LYRICS » DIAMOND PLATNUMZ (KENYA)

NAANZAJE LYRICS » DIAMOND PLATNUMZ (KENYA) » Official Music Video

Most Viewed Lyrics :
Share This Lyrics :

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top