Mwambieni Lyrics » Zuchu (Tanzania) : The Mwambieni Lyrics / Mwambieni Song lyrics by Zuchu is the Latest African Song of 2022. The Mwambieni Song is Sung by Zuchu. The Mwambieni Song Music is Given by Zuchu. The Mwambieni Song Lyrics is Written by Zuchu. The Mwambieni Song is Released on 4th February, 2022. The Mwambieni Song is Presented by Zuchu.
Mwambieni Song Details :
Song | Mwambieni |
Singer | Zuchu |
Music | Zuchu |
Lyrics | Zuchu |
Release Date | 4th February, 2022 |
Language | African (Tanzania) |
Label | Zuchu |
Mwambieni Lyrics » Zuchu (Tanzania)
Eeeeh Kaja Omba Nirudia,
Kazirejesha Salam..
Zamani Kakumbukiaa,
Ameumisi Utamu..
Kaacha Kopa Kalamba Garasa,
Kaishiwa Masikini..
Mpeni Taarifa Za Beti Mkwasa,
Mi Simkumbuki Sini..
Hee Mwambieni Mwanbieni
(Mali Yake Ishaliwa)
Aha Apunguze Kampeni
(Jimbo Lishachukuliwa)
He He Mwambieni Mwambieni
(Mali Yake Ishaliwa)
Aha Apunguze Kampeni
(Jimbo Lishachukuliwa) Wee
Kabaki Mbe, Mbe Arijojo Mbembe Hatarii,
Mbe Arijojo Mbembe..
Kaambulia Patupuu Mbe Arijojo Mbembe,
Yuko Chali Chaliii Mbe Arijojo Mbe..
Mbe.. Mbe.. Mbe..
Alidhani Ameniadhiri,
Alidhani Amenikomoa,
Mungu Akanipa Msitirii,
Alonipoza Nikapoa Ah..
Penzi Kalijaza Ndindindi,
Kanimwagia Mwenwere Mwenwere,
Pole Ya Kwako Kidingi Wa Kudandia,
Ngendere Ngedere..
Simu Za Usiku Wa Saa Sita, Aka Staki,
Kuni Dm Insta, Aka Staki..
Kutwa Kujicomentisha, Aka Staki,
Kujitumisha Vipicha, Aka Staki..
Hee Mwambieni Mwanbieni
(Mali Yake Ishaliwa)
Aha Apunguze Kampeni
(Jimbo Lishachukuliwa)
He He Mwambieni Mwambieni
(Mali Yake Ishaliwa)
Aha Apunguze Kampeni
(Jimbo Lishachukuliwa) Wee
Kabaki Mbe, Mbe Arijojo Mbembe Hatarii,
Mbe Arijojo Mbembe..
Kaambulia Patupuu Mbe Arijojo Mbembe,
Yuko Chali Chaliii Mbe Arijojo Mbe..
Mbe.. Mbe.. Mbe..
Hee Kabaki Mbeee,
Mbe Arijojo Mbe Mbe..
Si Wa Mbele Wala Nyuma,
Mbe Arijojo Mbembe..
Si Wa Kuvutwa Sukuma,
Mbe Arijojo Mbembe..
Inakuuma Eeeh,
Mbe Arijojo Mbembe..
Twende Kirinkikiti.. Kirinkikiti.. Kikiti.. Kikiti..
Kirinkikiti.. Kirinkikiti.. Kikiti.. Kikiti..
Written by : Zuchu