Kiuno Lyrics » Killy Ft. Ibraah | Lyrics Over A2z

Kiuno Lyrics » Killy Ft. Ibraah | Lyrics Over A2z
Rate this Lyrics

Kiuno Lyrics » Killy Ft. Ibraah : The Kiuno Lyrics / Kiuno Song Lyrics by Killy Ft. Ibraah is the Latest African Song of 2022. The Kiuno Song is Sung by Killy Ft. Ibraah. TheKiuno Song Music is Given by Yogo Beats & The Lyrics is Written by Killy & Ibraah. The Kiuno Song is Released on 23rd July, 2022. The Kiuno Song is Presented by Officialkilly.

Kiuno Song Details :

Song TitleKiuno
SingerKilly Ft. Ibraah
MusicYogo Beats
LyricsKilly & Ibraah
Release Date23rd July, 2022
LanguageAfrican (Country : Tanzanian) | Rock
LabelOfficialkilly

Kiuno Lyrics » Killy Ft. Ibraah

Ouwoo.. Oh Oh Eyee..
Aliyeumba Upendo Ndo,
Ameumba Na Mengine..

Ila Mi Sina Nyendo,
Na Kukupenda Sishangai..
Tabia Na Matendo Oh, Oh, Oh..

Macho Hayajaona Pengine..
Isije Tiki Ya Pendo,
Ikawa Ndo Tena Bye, Bye..

Chunga Majaribu Yapo,
Hayakwepeki..
Unga Tule Kiapo Usiwe Feki,
Usije Kuwa Taabu Na Dhihaki..
Wapi Nitaiweke Sura Niambie Eh..

Ukiniona Mtu Mzima Nalia,
Kwa Ajili Ya Mapenzi Usishangae..
Ama Umekiweza Ah Ah..
Hiki Kifimbo Cheza Ah, Ah..

Trending Now →  FIRE Lyrics » ZUCHU

Ah Umezidi Sifa Na Sina Mtetezi,
Hapo Mbele Nisije Nikajiita Baadae..

Ona Wanavyonibeza Ah, Ah..
Na Si Tunapendana Ah, Ah..
Ona Hicho Kiuno,
Ah, Ah, Ah, Ah..

Hio Miguno,
Ah, Ah, Ah Ah..

Wengine Mwenzako Sidhani,
Ah, Ah, Ah, Ah..
Hicho Kiuno,
Ah Ah, Ah Ah..

Hicho Kiuno,
Oh, Oh, Oh, Oh..
Hio Miguno,
Ah, Ah, Ah, Ah..

Wengine Mwenzako Sidhani,
Ah, Ah, Ah, Ah..
Hicho Kiuno,
Ah, Ah, Ah, Ah..

Kila Kitu Wengine Wamebarikiwa,
We Umebarikiwa..
Kila Kitu Wengine Wamebarikiwa,
We Umebarikiwa..

Hicho Kiuno Ah..
Kama Umefunga Mota,
Unanipeleka Peleka Puta..

Na Sina Cha Kusema,
Moyo Ulivyousokota.
Unanipandisha Unanishusha..

Tambua Ya Hivi Bega,
Likaangwi Na Likaliwagwa..
Ni Watu Kuniumiza Baby,
Njoo Ndo Usiniwache Mwana..

Nisiwe Nikajuta Kukupata,
Ju Walking Yake Nitakwenda Lini..
Mwenzako Unanipa Mashaka,
Jua Kwenye Mapenzi Hakuna Ujasiri..

Ona Njoo Nikulinde Ka Bodyguard,
Nikuite Baby Uniite Daddy..
Japo Kidogo Pokea Zawadi,
Chonde Usinipe Rate Card Mama..

Ukiniona Mtu Mzima Nalia,
Kwa Ajili Ya Mapenzi Yako Usishangae..
Maana Umeniweza Mama,
Nyuma Mkia Wa Pweza Ah, Ah..

Trending Now →  Mwambieni Lyrics » Zuchu (Tanzania) | Lyrics Over A2z

Yaani Umezidisha Sifa,
Na Umenikoleza..

Ukiniacha Nisije Nikakitapatae,
Sitaki Kukupoteza Mama..
Mbele Sioni Makengeza..

Maana Hicho Kiuno,
Ah, Ah, Ah, Ah..
Hio Miguno,
Ah, Ah, Ah, Ah..

Mwingine Mwenzako Sidhani,
Ah, Ah, Ah, Ah
Hicho Kiuno,
Ah, Ah, Ah, Ah..

Hicho Kiuno,
Oh, Oh, Oh, Oh..
Hio Miguno,
Ah, Ah, Ah, Ah..

Wengine Mwenzako Sidhani,
Ah, Ah, Ah, Ah..
Hio Miguno,
Ah, Ah, Ah Ah..

Kila Kitu Wengine Wamebarikiwa,
We Umebarikiwa..
Kila Kitu Wengine Wamebarikiwa,
We Umebarikiwa..

Kiuno Lyrics » Killy Ft. Ibraah

Written by : Killy & Ibraah

Kiuno Lyrics » Killy Ft. Ibraah » Official Music Video

If You Love “Kiuno Lyrics » Killy Ft. Ibraah“, Then Please Do Not Forget To Share It To Your Friends On Social Media. A Share From You Will Inspire Us To Bring You New Song Lyrics.

If You Want To Read The Lyrics Of Any Of Your Favorite Songs, Feel Free To Contact Us By Filling The Contact Us Form. We Will Try Our Best (24/7) To Bring You The Lyrics Of Your Favorite Song. Keep Enjoying New Song Lyrics With Lyrics Over A2z. Have A Very Nice Day!

Share This Lyrics :