JIPINDE LYRICS » IBRAAH [KENYA] » Lyrics Over A2z

JIPINDE LYRICS » IBRAAH [KENYA] » Lyrics Over A2z
Rate this Lyrics

JIPINDE LYRICS » IBRAAH [KENYA] : The Jipinde Lyrics / Jipinde Song Lyrics by Ibraah is the Latest African Song of 2021. The Jipinde Song is Sung by Ibraah. The Jipinde Song Music is Given by Konde Music. The Jipinde Song Lyrics is Written by Ibraah. The Jipinde Song is Released on 18th August, 2021. The Jipinde Song is Presented by Ibraah.

Jipinde Song Details :

SongJipinde
SingerIbraah
MusicKonde Music
LyricsIbraah
Release Date18th August, 2021
LanguageAfrican (Kenya)
LabelIbraah

JIPINDE LYRICS » IBRAAH [KENYA]

Ye Aah Chinga Aaah

Moja Nikusifie We Kama Katuni
Mwendo Hauna Kasoro
Na Kawimbo Ni Kuimbie
Sio Kwa Mafumbo
Kweli Mwali Mwali Nimefollow

Shida Ya Upendo
Uko Moyoni Natamani Nikuoneshe
Ila Hauonekani
We My Sweet My Hani Bani
Nimependa Kweli
Sio Ku Having Fun Ouwoo O

Oooh Darling Darling Sweet Sweet
Ile Mida Flani Ndani Tukwichi Kwichi
Pendo Limesha Noma Na Twitt Twitt
Haujaniova Saizi Yani Fits Fiti Weee

Jipinde Kama Unainuka Mama
Unainama Nyosha Mugongo Kidogo
Jipinde Kama Unaji Kunja Mama
Una Chutama Kama Unakuja Kidogo

Jipinde Aawe Aaye Awee Baby Jipinde
Awee Aaye Aawe Baby Jipinde

Trending Now →  Nitaubeba Lyrics » Harmonize

No No No Olea Houwo Wowo Eeeh

Njoo Nikupe Kipande Cha Muwa Awe
Na Ninavyo Kupenda Siunajuwa Awe
Vile Huwezi Kujishauwa
Kama Kiuno Kata
Kama Nyonga Teuwa Awe

Mafuta Nikupakaze Kwa Zako Nywele
Hadi Lips Nauli Usije Dengua
Binuka Utamu Nipate
Kwenye Pete Ninase Nikupe Yote Sipimi

Na Tuimbe Doli Doli Doli
Kwa Yako Migandisho
Maa Kama Mudoli Doli Doli Doli Maana
Mapenzi Popote Hata Ikiwa
Kwa Poli Eeh

Darling Darling Sweet Sweet
Ile Mida Flani Ndani Tukwichi Kwichi
Pendo Limeshanoga Na Twitt Twit
Haujaniova Saizi Yani Fiti Fiti Wee

Jipinde Kama Unainuka Mama
Unainama Nyosha Mugongo Kidogo
Jipinde Kama Unaji Kunja Mama
Una Chutama Kama Unakuja Kidogo

Jipinde Aawe Aaye Awee Baby Jipinde
Awee Aaye Aawe Baby Jipinde

Written by : Ibraah

JIPINDE LYRICS » IBRAAH [KENYA]

JIPINDE LYRICS » IBRAAH [KENYA] » Official Music Video

Share This Lyrics :