BAHATI Feat. MEJJA » DEAR EX REMIX LYRICS : The Dear Ex Remix Lyrics / Dear Ex Song Lyrics by Bahati Feat. Mejja is the Latest African Song of 2021. The Dear Ex Song is Sung by Bahati feat. Mejja. The Dear Ex Song is Produced by Mesesi & Teddy B. The Dear Ex Remix Song is Released on 21st April, 2021. The Dear Ex Remix Song is Presented by Bahati Kenya.

Bahati Feat. Mejja Dear Ex Remix Song Details :

  • Song : Dear Ex Remix
  • Artist : Bahati feat. Mejja
  • Release Date : 21st April, 2021
  • Language : African, Kenya
  • Label : Bahati Kenya

BAHATI Feat. MEJJA » DEAR EX REMIX LYRICS

Nilipokosa nisamehe
Hulipokosa nikusamehe
Na maisha yaendelee eeh

Nilipokosa nisamehe
Hulipokosa nikusamehe
Na maisha yaendelee eeh

Rafiki zangu wanaulizia ah
Ndugu zangu wanaulizia
Yule wa zamani

Pastor Ng’ang’a anaulizia, anaulizia
Majirani wanaulizia,
Yule wa zamani

Nimemiss sauti yako ndani ya nyumba
Nimemiss nikishanif shash na wewe unafunga
Nimemiss tukioga pamoja
Nimemiss ukipika mi naoja
Nimemiss familia,
Nimemiss manzi yangu

Ulikuwa beshty yangu
Advice za mabeshty ndio ulisikia
Walikuchocha ukavunja familia

But i hope mahali uko unafurahia
Pole bado nampenda mtoto wako
Ukiwa na shida usiogope kusema
Maisha yako mi nakutakia mema

Mad the kansoul anaulizia, anaulizia
Mama Khadija anaulizia,
Yule wa zamani

Willy Tuva anaulizia, anaulizia,
Governor Joho anaulizia,
Yule wa zamani

You never took your time to know me
(Time to know me)
You never took your time to understand
You never took your time to know me
(Time to know me)
You never took your time to understand
That loving you is all i ever had

Natamani siku zile,
Hisia zangu zikanikosea
Ata nikuone
Ukiwa naye nina waombea

Natamani siku zile,
Hisia zangu zikanikosea
Ata nikuone
Ukiwa naye nina waombea

Maina Kageni anaulizia, anaulizia?
Anaulizia yule wa zamani
Mwakideo anaulizia, anaulizia
Ata Otile anaulizia,
Yule wa zamani

Ommy huruma anaulizia,
Mtua anaulizia
Mama Cidy anaulizia,
Yule wa zamani

Kiuna anaulizia,
Mwende Klemo, anaulizia
Kwetu Mathare wanaulizia,
Yule wa zamani

Sikia sauti
Mama Mejja anaulizia, anaulizia
Kama wa pango anaulizia,
Penting wa zamani

BAHATI Feat. MEJJA » DEAR EX REMIX LYRICS

BAHATI Feat. MEJJA » DEAR EX REMIX LYRICS – Official Music Video

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here