ADDICTION LYRICS » IBRAAH Ft. HARMONIZE » Lyrics Over A2z

ADDICTION LYRICS » IBRAAH Ft. HARMONIZE » Lyrics Over A2z
Rate this Lyrics

ADDICTION LYRICS » IBRAAH Ft. HARMONIZE : The Addiction Lyrics / Addiction Song Lyrics by Ibraah Ft. Harmonize is the Latest African Song of 2021. The Addiction Song is Sung by Ibraah Ft. Harmonize. The Addiction Song Music is Given by Ibraah, Harmonize. The Addiction Song Lyrics is Written by Ibraah. The Addiction Song is Released on 24th November, 2021. The Addiction Song is Presented by Ibraah.

Addiction Song Details :

SongAddiction
SingerIbraah Ft. Harmonize
MusicIbraah
LyricsIbraah
Release Date24th November, 2021
LanguageAfrican
LabelIbraah

ADDICTION LYRICS » IBRAAH Ft. HARMONIZE

Mmmh Yeyeyeyee..
Mmmh Yeyeyeyee..
Mmmh Yeyeyeyee..
Moccoo!

Poombe Poombe..
Yaw Yaw
Poombe Poombe..
Poombe Poombe..
Jeshiiii..
Poombe Poombe..
Eeh Vanemba Newala..

Kwanza Pombe Ni Dawa
Ukiwa Na Msongo
Wa Mawazo Inakuweka Sawa
(Aah Wewe)

Pombe Sio Kahawa Kama
Hauziwezi Usizidishe Utapagawa
(Aah Wewe)

Eeh Mwezenu Nikinywa Pombe
Zinashuka Kwa Chini
Na Kichwa Kinakuwaga Cha Moto

Na Sio Za Kupimaa
Pombe Iwe Dompo Iwe Barimi
Zinanishikaga Ndo Changamoto

Trending Now →  ASUODEN LYRICS » SISTA AFIA & KUAMI EUGENE

Na Enjoy Japo Nikinywa Nakunja
Sura Ni Moja Ya Utamu Wa Pombe
(Utamu Huooo)
Eeh Sitoboi Sasa Usiombe Niikamate
Chura Nazima Taa Hiki Si Nikikombe
(Utamu Huooo)
(Mmmh Mmmh)

Yaw Yaw
Eeh Nikizinywa Nashushia Na Ndumu (Poombe)
Bhasi Iyo Glass Naiona Kama Dumu (Poombe)
Nikizima Niacheni Humu Humu (Poombe)
Na Usishangae Nikila Muhudumu (Poombe)

Sipendagi Kuwa Sober
Mixture Za Madeni Ya Vikoba
Bora Ninywe Hata Viroba
Uzeeni Nitatubu Tobaa..

Kulewa Ni Kule Kule
Japo Chupa Na Ladha
Za Pombe Tofauti
(Tofaaaa)

Na Mnaokunywa Hennesy Sisi Wa
Savanna Msitupandishie Sauti Za Woofer
Yeboo Mimi Napendaga Kulewa Lewa
Pembeni Kuwe Mtoto Totoo
Maana Nikishalewa Lewa
Kinachofata Nikupeleka Motoo

Poombe Poombe..
Poombe Poombe..
Poombe Poombe..
Poombe Poombe..

Yaw Yaw..
Jeshiiii!
Eeh Vanemba Newala..
Mocco Genius..

Written by : Ibraah

ADDICTION LYRICS » IBRAAH Ft. HARMONIZE

ADDICTION LYRICS » IBRAAH Ft. HARMONIZE » Official Music Video

Share This Lyrics :